HAPA ZANZIBAR IJIFIKIRIE UPYA.
Zanzibar hata muungano ukivunjika
leo haitakuwa na usalama wala Tanganyika haitakuwa na amani naamini hivyo
Znzibar. Dhana ya ubaguzi ni dhana endelevu kama ilivyo uhuru usawa, mwanzo wa
uhuru wa kitu Fulani ni mwanzo wa madai ya uhuru mwingine tufikirie uhuru
uliodaiwa wakati wa uhuru ni uhuru wa zama hizi?
Je wakati tunadai uhuru miaka ya 1950 tulidai uhuru
tulidai wa habari, tulipodai usawa ulikuwa usawa wa jinsia, tulipodai umoja
ulikuwa wamisikiti au makanisa? Tulipodai umoja ulikuwa wa makanisa? hapa
tunaweza kuona kuna dhana pana sana na zinazobadilika kutokana na zama je ni
nini lengo. Leo binadam ukiwa na sababu sahihi anaweza kudai apate mabadiliko
Fulani kesho aktaka kuwa na mabadiliko hapa ndipo dhana ya ubaguzi na uhuru na
usawa zinapofanana ila mwanzo wa kuchoma makanisa umeleta dhana ya kudai kuuvunja muungano. Kwa mtazamo wangu
kilichopo nyuma ya pazia ni kuuvunja muungano ili kupata zanzibar itakayokuwa
jamhuri ya kiislam.
Nasema hivi kutokana na mfululizo wa matamshi, nani
wanataka muungano uvunjike, ,mitazamo yao, misimamo yao, na ‘prediction’ yangu.
Ila hata muungano ukivunjika bado ubaguzi hauwezi kuwaishia hapa utaendelea
kwasababu ni asili ya ubaguzi kuendelea kawsababu watu hawafanani, hajawahi
kufanana, hawatafanana, watatofautina na wataendelea kuwa hivyo.
Waafrika hatugawanywi kwa misingi ya kiafrika
‘dhana za kiafrika, mitazamo ya kiafrika, fikra za kiafrika’ ila kwa misingi
wasio waafrika ambazo kama waafrika hatupati faida zaidi ya kutuumiza hivi
tunazoamini udini, rangi, mipaka kwa faida ya nani yetu? Ya kiroho? Kwa maisha
ya nani yetu na vizazi vya nani? Vyetu? Kila ni nini asili ya chuki tulizonazo
sio mawazo yam bongo zetu ni picha tulizojengewa na wao ni tamaduni zao. Huwa
najiuliza kwanii zitugawe Waafrika nadhani naweza kupata leo majibu kupitia
makala hii.
Kama Afrika inanielewa inatakiwa iwe na uwezo wa
kusikia nakutambua kupitia milango yake ya fahamu hivi dhana
Mwanzo wa dai la kuuvunja muungano utazaa kutaka
kuivunja pemba na Unguja
TO BE CONTINUED
No comments:
Post a Comment